Thursday, May 4, 2017

MARCUS RASHFORD AWAPA FURAHA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED


Manchester united yapata ushindi mwembamba ugenini dhidi ya wapinzani wao Celta vigo
. Ilikua ni dakika ya 67, kipindi cha pill cha mchezo, ambapo mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford alipopiga free kick iliyoenda moja kwa moja kimyani.  Marcus Rashford anaweka historia ya kufunga goli nje ya box. Timu hizo zitarudiana tena alhamisi ya wiki ijayo katika uwanja wa nyumbani wa Manchester unitef "Old Trafford' kukamilisha nusu fainali ya pili.

0 Comments:

Post a Comment