Sunday, December 30, 2012

Saturday, December 29, 2012

Friday, December 28, 2012

Ukweli Kuhusu Lamborghini ya Video ya Naija Girl ya Prezzo

Baada Ya Stori na picha Kusambaa ikimuonesha Prezzo akiwa na Gari la kifahari aina ya Lamborghini Team nzima ya RICHARD KADURI.blogspot.com Tuliona si mbaya Tukatafuta ukweli kuhusu Prezzo na his new Ride.. Gari hilo si la PREZZZO bali mliki halisi ni Msanii toka pande za Nigeria anayetamba na...

Thursday, December 27, 2012

Wednesday, December 26, 2012

Monday, December 24, 2012

Sunday, December 23, 2012

Saturday, December 22, 2012

Friday, December 21, 2012

Wednesday, December 19, 2012

Sunday, December 16, 2012

Monday, December 10, 2012

Cortez Bryant Meneja wa Nicki Minaj Aziponda Nomination za Tuzo za Grammy

Cortez Bryant meneja wa Nicki Minaj ameziponda nomination za Tuzo za Grammy zilizotajwa siku kadhaa zilizopita ikiwa ni siku chache baada ya Meneja wa Justine Bieber Scooter Braun Kuziponda tuzo hizo kwa madai yanayofanana na ya Bryant  Nicki Minaj pamoja na kutoa Album yake mpya hivi karibuni...

Friday, December 7, 2012

Jay-Z, Kanye West, Frank Ocean, Black Keys waongoza Nomination list tuzo za Grammy 2013

Wasanii wa muziki wanowania za ‘Grammy awards 2013’ tuzo ambazo ni maarufu na zenye heshima kubwa Duniani, wametangazwa rasmi jumatano ya tarehe 5, December, Brindgestone Arena huko Nashville, Tennessee. Katika nomination hizo  makundi ya muziki kadhaa na wanamuziki waliopata nafasi ya kutajwa...

Monday, December 3, 2012

 Movie ya ‘Expendable 2’yaburuzwa tena mahakamani, ni baada ya mlipuko wa ukweli uliomuua actor mmoja na kumjeruhi vibaya actor mwingine  Expendable two iliyowashirikisha action movie stars kibao wakiongozwa na Sylvester Stalonne (Rambo), Jean Claude Vanndamme, Jet-Li, Arnold ShwazNiger,...

Sunday, December 2, 2012

GAGA APOSTI PICHA AKIWA NA SIMBA SOUTH AFRICA

Lady Gaga amepata shavu la kutalii vivutio vya Afrika baada ya kudondoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya tour yake na kutembelea mbuga za wanyama Lady Gaga alionesha furaha yake ya kukutana uso kwa uso na kupiga picha na wanyama wakali simba na kupost picha hizo kwenye ukurasa wake wa twitter...

Saturday, December 1, 2012

WANANDOA HATARINI KUAMBUKIZWA VVU

Watu Waanoishi Katika Ndoa Wapo Katika Hatari Kubwa ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Kwa Asilimia 70 Kwa Kuwa Ndio Wanaoongoza Kutoka Nje ya Ndoa Hivyo Kusababisha Ongozeko la WatotoYatima Hayo yamesemwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi  Katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Yaliyofanyika Katika kata ya Mji Mwema Katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Akizitaja...

Friday, November 30, 2012

SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA BAJETI YA MAHAKAMA

 Serikali Imetakiwa  Kuongeza  Bajeti Katika Idara ya Mahakama  Hapa Nchini Ili Kuepuka  Vitendo Vya Rushwa Kwa  Wananchi  Waendeshaji  Mahakama.Akizungunza na Kituo  Hiki Mwanasheria John Owegi  Ambaye ni Wakili wa Kujitegemea Mkoani Njombe Anesema Ufinyu Wa Bajeti  Katika Mahakama Unapelekea Kuwepo Kwa Mianya ya Rushwa na Kukosesha Haki Kwa ...

SERIKALI INATARAJIA KUZINDUA CHANJO MPYA MBILI ZA WATOTO WACHANGA

Serikali inatarajia kuzindua chanjo mpya mbili za watoto wachanga ikiwemo chanjo ya kuzuia kuharisha na chanjo ya kichomi NIMONIA ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayeitwa STREPTOCOCCUS PNEUMONIAE Ulioonekana kuwakumba watoto wadogo. Akifungua kikao cha semina ya afya ya Mkoa wa Njombe iliyolenga kutoa elimu juu ya chanjo hizo mkuu wa mkoa  wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi amewataka...

Thursday, November 29, 2012

Wednesday, November 28, 2012

WAFANYABIASHARA WALALAMIKIA KODI YA MISITU

Msako wa kodi zitokanazo na misitu uliofanyika kuanzia novemba 26 mwaka huu mjini Njombe umepelekea malalamiko makubwa kwa wafanyabiashara kuilalamikia serikali kwa kuendesha zoezi hilo kwa kutumia nguvu.  Hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa bidhaa zitokanazo na misitu ya maliasili kuingiwa na hofu kubwa kutokana na msako huo uliofanyika kwa kutumia jeshi la polisi ambao wamekuwa wakitumia...

Tuesday, November 27, 2012

Tuesday, November 13, 2012

MATOKEO YA WAJUMBE WA NEC YAVUJA DODOMA

MATOKEO ya uchaguzi wa wajumbe wa NEC Uliofanyika juzi mjini Dodoma katika mkutano wa nane wa (CCM) yamevuja.  Mwenyekiti wa chama hicho , Rais Jakaya Kikwete alitangaza jana kuwa matokeo hayo yatatangazwa leo pamoja na matokeo ya nafasi za Makamu Mwenyekiti lakini cha ajabu jana mchana zaidi ya asiliamia 90 ya wajumbe walisha jua matokeo hayo na kwa upande wa wagombea wa bara yakiwekwa na...

Sunday, October 28, 2012

Wateja wa mafuta wakisubiri foleni ya mafuta Mkoani Njombe, Nishati Hiyo Imekuwa kitendendawili kwa siku za hivi karibu...

Saturday, October 13, 2012

MRADI WA KILIMO WAZINDULIWA WILAYANI WANGING'OMBE

Mradi wa mwelekeo wa maendeleo ya kilimo katika shirika la maendeleo ya kilimo mkoa wa Njombe la NADO  unaoitwa NADO IN FOCUS leo umezinduliwa rasmi Wilayani Wanging'ombe. Akizindua mradi huo kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Njombe Afisa Biashara wa mkoa wa Njombe bwana George Lupembe amepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na shirika la NADO Katika kuwakomboa wakulima kwa kujiinusuru na kipato...

Friday, October 12, 2012

WAFANYABIASHARA WALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA

Baadhi ya Wafanyabiashara Mjini Njombe Wakiwa Nje ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe  Wafanyabiashara Mijini Njombe Wamelazimika Kuahirisha Kikao Kilichopangwa Kufanyika Saa 3 Asubuhi Hii Leo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bwa. Valency Kabelege Baada...

Thursday, October 11, 2012

HALI YA UPATIKANAJI WA MAFUTA YAREJEA KAWAIDA MJINI NJOMBE

Hali ya Upatikanaji wa Mafuta Katika Mji wa Njombe Imerejea Katika Hali ya Kawaida Baada ya Siku Kadhaa Zilizopita Kutopatikana kwa Nishati Hiyo Muhimu Hasa Mafuta Aina ya Dizeli. Akiongea na Mwandishi wa Blog Hii, Meneja wa Kituo cha Kuuza Mafuta cha Ndime, Clement Mwauling'ombe Mtewele amesema...

Tuesday, October 2, 2012

Wanafunzi 25 wauawa na Boko Haram  2 Oktoba, 2012 - Abubakar Shekahu kiongozi wa kundi la Boko Haram Zaidi ya wanafunzi 25 wameuawa kwa kupigwa...

Tuesday, September 25, 2012

Daktari: Serikali inahusika ARV bandia   ATAKA IJIHOJI  IJE NA MAJIBU, AELEZA ATHARI ZAKE, NAIBU WAZIRI ATAKA IPEWE MUDA ZAIDI KUCHUNGUZA TATIWAKATI utata ukiendelea kugubika usambazwaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV), daktari...